Fangasi Ukeni Husababishwa Na Nini?
- Mabadiliko ya mazingia ya uke inapelekea fangasi ukeni
Vimelea hawa wa Candida Albicans ambao ndio hupelekea fungus, kawaida wanapatikana katika midomo, koo la kupitishia chakula, kibofu cha mkojo, uume au katika uke na kwenye ngozi pia. Kuhamisha vimelea hawa kwenda eneo linguine la mwili inapelekea uugue. Mfano kutoa kwenye mkundu mpaka kwenye uke. - Kupungua kwa Kinga ya mwili kutokana na magonjwa mbalimbali inapelekea kukua kwa Candida. Ndiomaana wagonjwa wa ukimwi na saratani au wanaopata matibabu ya mionzi huwa kwenye hatari kubwa ya kuumwa fangasi ukeni
Makundi ya watu wanaougua Zaidi fangasi ukeni
- wanawake wanaofanya ngono mara kwa mara na watu tofauti tofauti bila kinga yani kavu
- kufanya ngono kupitia mdomo(oral sex)
- matumizi makubwa ya kondomu kwenye tendo
- matumizi makubwa ya pedi au pantliners
- Wanawake wanaoosha uke kila mara/usafi kupitiliza na
- wanaotumia manukato ukeni
- Wagonjwa wa kisukari na
- Wanaokula madawa kwa mda mrefu
Dalili za fangasi ukeni
- Kuwashwa sana ukeni
- Kupata aumivu makali wakati wa tendo
- Kuhisi kuwaka moto ukeni baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa.
- Kupata vidonda ukeni (soreness) .
- Kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa uke
- Kupata maumivu wakati wa kukojoa na
- Kupata uchafu ukeni wa rangi nyeupe au kijivu mwepesi au mzito
Matibabu ya Uhakika na asili kwa Fangasi ukeni
Mwanamke mwenye fangasi sugu , tunashauri atumie Uterus cleansing pill kusafisha kizazi ili kuondoa maambukizi haya. Uterus cleansing pill (UCP) ni vidonge 2 vilivyotengenezwa kitaalamu zaidi kwa kuzingatia uasili wa dawa kutibu fangasi ukeni. Baada ya dozi utapona, muwasho, uchafu na harufu mbaya ukeni na PID.
Matumizi ya dawa
Vidonge hivi asili vinatumika kwa wiki moja. Unaweka ukeni kidonge kimoja na kisha unatoa baada ya siku 3, kisha unapumzika masaa 24 ,unaweka tena kidonge kingine. Usitumie wakati wa hedhi na kama una mimba.