
Nini husababisha Muwasho ukeni na kuvimba ukeni
- Kuugua fungus ukeni
- Maambukizi ya bacteria ukeni
- kuvurugika kwa uwiano wa viumbe kwenye mazingira ya uke (vaginal microflora) ambayo inahusisha uwepo wa bacteria na fangasi pia
- Kukoma hedhi ambapo inafanya uke uwe mkavu sana
Vipimo kwa tatizo la Muwasho ukeni
Kama tatizo litaendelea na dalili kuwa kali zaidi ya wiki hapo utahitaji kwenda kupima uanze tiba. Dactari atafanya pelvic examnation ambapo atangalia dalili anazopata mgonjwa kwenye via vya uzazi eneo la nje la uke, mfuko wa mimba, mlango wa kizazi, mirija ya uzazi, kibofu cha mkojo na mifuko ya mayai Daktari pia anaweza kuchukua sample ya uchafu unaotoka na kuufanyia vipimo ili kugundua chanzo cha tatizo.
Tiba ya tatizo hili la kuwasha kwa uke itategemea na chanzo ama ugonjwa unaosababisha kama ugonjwa
Ushauri wa Kufuata na Tiba Mbadala kama Unapata Muwasho Ukeni.
- Epuka kuvaa pedi mds mrefu, kutumia cream na spray zenye harufu kali tabia hizi zinavuruga mazingira ya ukeni na kutoa mwanya wa fangasi na bacteria kukua.
- Tumia maji na sabuni zisizo na kemikali kujisafisha ukeni na usioshe uke zaidi ya mara moja kwa siku.
- Unapojisafisha ukeni fifute kuanzia mbele kwenda nyuma. Kufanya hizi inazuia kusambaa kwa bacteria walioko mkunduni kwenda ukeni.
- Vaa nguo za ndani za pamba ambazo huruhusu hewa kupita na kukausha unyevu ambao ni mbolea kwa fangasi na bacteria wabaya.
- Epuka kufanya kusafisha uke kupita kiasi
- Tumia condom ili kujikinga na magonjwa ya zinaa
- Usifanye sex mpaka pale ukishapona ugonjwa
Tiba kwa Tatizo la Muwasho ukeni
Kwa mwanamke mwenye changamoto ya muwasho na harufu mbaya ukeni,hedhi kuvurugika, tunashauri atumie tiba zetu asili kutoka india apone haraka ndani ya wiki mbili