Mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa na tiba asili

mwanamke kukosa hamu ya tendo

Nini kinapelekea mwanamke kukosa hamu ya tendo?

  1. Kuvurugika homoni ama vichocheo kunapelekea kukosa hamu ya tendo
    Utajuaje kama homoni zako zimevurugika? angalia kama unapata dalili za hedhi kuvurugika, kuota ndevu, mwili kuchoka sana na mood kubadilika, uzito mkubwa na kitambi, na kupoteza kumbukumbu.
  2. Uvimbe kwenye kizazi inapelekea mwanamke kukosa hamu ya tendo . Uvimbe huu kitaalam tunaita fibrod au myoma. uvimbe unaanza kudogo kama punji na unaweza kuwa mkubwa kama mpira endapo hautaondolewa mapema.
  3. Kutumia uzazi wa mpango wa kisasa inachangia mwanamke kukosa hamu ya tendo. Kama hakuna ulazima basi acha kutumia njiti, sindano, vidonge na kitanzio kupanga uzazi. Tumia njia asili kama kalenda
  4. Kukoma hedhi au menopause: wanawake wemgu wakifika miaka 40 wanaanza kukoma hedhi na hapo shida ya uke mkavu inapoanzia. Kama uko kwenye hili kundi kuna dawa maalumu tutakupa ikusaidie urudi ujana wako.

Tiba asili kwa tatizo la mwanamke kukosa hamu ya tendo

Kama hujafurahia tendo tangu uzaliwe, au hujafurahia kwa miaka mingi, na huna kabisa hamu ya tendo basi hapa upo sehem salama. Hakikisha tu kama unatumia uzazi wa mpango wa kisasa basi utoe kwanza, kisha tuykupe dawa.

Dawa zipo makundi mawili.

  1. Dawa kwa wenye umri mdogo chini ya miaka 40 (soy power)
  2. Dawa ya wamama watu wazima Zaidi ya miaka 40 ambao bado wanaopwata hedhi au tayari walishakoma hedhi(ovary nutrition)

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *