
Uvimbe kwenye kizazi yaani Fibroids ni uvimbe ambao siyo wa saratani unaojitokeza kwenye kuta za mfuko wa kizazi. Uvimbe huu husababisha kubadilika kwa shape na size ya kizazi na pia dalili zingine mbaya. Mgonjwa huanza kupata maumivu makali wakati wa hedhi kutokana na uvimbe kwenye kizazi yaani fibroids .
Unajuaje kama tayari una uvimbe kwenye kizazi
Hapa chini ni ni dalili za kukwambia kwamba tayari kuna uvime kwneye kizazi
- Kupata Hedhi inayochukua siku nyingi kuanzia 7 na zaidi
- Hedhi nzito ya mabonge
- Kujiskia umeshiba mda mwingi
- Maumivu ya nyonga
- Kupata mkojo mara kwa mara na kushindwa kukujoa mkojo wote
- Kukosa choo kwa muda mrefu au kupata choo kigumu
- Kupata maummivu kwenye sex
- Maumivu makali kwenye mgongo wa chini
- Kukosa mimba mda mrefu yaani ugumba na mimba kuharibika mara kwa mara
Mambo haya yanaongeza chansi kwa mwanamke kupata uvimbe kwenye kizazi
- Umri Mkubwa: uvimbe kwenye kizazi yaani fibroids inatokea zaidi kwa wanawake wanaokaribia kukoma hedhi kuanzia miaka 35 mpaka 40.
- Kurithi kwa familia: kama mama au dada yako aliugua uvimbe hapo zamani basi wewe pia utakuwa kwenye hatari zaidi ya kupata uvimbe huu.
- Lishe mbaya: matumizi ya vyakula vya wanga na sukari kupita kiasi yanaongeza chansi ya kuugua fibroids
- Uzito mkubwa na kitambi: wanawake wenye uzito mkubwa na kitambi wako kwenye hatari zaidi ya kupata uvimbe
- Wanawake wenye presha kubywa ya kupanda
- Matumizi ya uzazi wa mpango wa kisasa: kama vidonge huongeza ukuaji wa fibroids kwani vidonge hivi huweza kupandisha homoni ya estrogen kwa wingi
- Kubalehe mapema sana: wanawake wanaovunja ungo mapema Zaidi na kuanza kupata hedhi chini ya miaka 11 wako kwenye hatari zaidi ya kuugua fibroids na
- Wenye matatizo ya tezi ya shingo yaani thyroids
Jaribu Tiba yetu asili kwa ajili Upone Uvimbe Haraka bila upasuaji
Kwa mwanamke mwenye uvimbe kwenye kizazi(fibroids) chini ya cm 3 nakushauri kutumia tiba zetu asili za kanchnar gugglu kutoka India .Dawa inatumika ndani ya mwezi mmoja na lengo ni kupunguza vimbe na kuziondoa kabisa. Dawa zipo kwenye mfumo wa vidonge 80. Dozi ni kwa unameza 2×2 kila siku. Kabla hujawaza upasuaji, njoo nikupe hizi tiba upone na urudishe furaha yako
Leave a Reply