
Homoni kuvurugika ni suala pana linalojumuisha vyanzo vingi, kama mtindo wa maisha, umri kwenda, sababu za kimazingira kama msongo wa mawazo. Sababu zote hizi zinaathiri uzalishaji na ufanyaji kazi wa vichocheo ama homoni zako.
Mambo Yanayoashiria Kwamba Una Shida ya Homoni kuvurugika
- Kuwa na hedhi ya muda mrefu Zaidi ya siku 7 unatumia Zaidi ya pedi 2
- Kuwa na hedhi yenye kuambatana na maumivu Makali sana
- Kuwa na hedhi yenye kuambatana na kichefu chefu,kuharisha
- Hedhi kuvurugika,kuingia mara tatu kwa mwezi mmoja, mara mbili au kukosa hedhi miezi 3 mpaka 6
- Kuota ndevu sehemu za usoni,kifuani nyingi kupita kiasi
- uzito mkubwa na kitambi cha tumbo la chini
- Ugumba na Kukosa mtoto kwa muda mrefu
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa ama lenye kuambatana na maumivu makali
Wanawake wengi wana shida ya homoni kuvurugika
Nimekuwa nikitafutwa na wakina mama wengi sana na wamekuwa wakinisimulia jinsi gani wamesumbuka na kutatua tatizo hilo, na kupitia tiba zetu wamepona kabisa na wanafurahia Maisha. Wanawake wengi wanaonitafuta ni wale ambao
- Tatizo linaanza kwahivyo wanatafuta njia nyepesi za kuondoa tatizo kabla hawajafikia zile njia ngumu za hospitali za kuliondoa tatizo.
- Wale watu ambao wametumia kila mbinu za kutatua matatizo kwa kuanzia ngazi za juu lakini hawapata suluhisho. Hawa huwa wamesumbuka kwa wataalamu mbalimbali lakini hawajakata tamaa.
- Wale watu waliotumia njia zote bila mafanikio na hadi wameambiwa na madaktari wao hapo hutaweza kufikia malengo. Wanawake hawa ni watu ambao wanaishi katika msongo wa mawazo mkubwa sana.
Nini kinapelekea homoni kuvurugika na vimbe kwenye mayai
Mwanamke huwa ana viwanda viwili vya kuzalisha mayai kila mwezi yaani kwa lugha nyingine ni ovari ya kushoto na ovari ya kulia. Ndani ya ovary ya mwanamke kuna mayai ambayo hayajakomaa kwa lugha ya kilatini huitwa Follice cells ,hizi ndizo hukomazwa kila mwezi na kutupatia yai ambalo linatakiwa lipatiwe urutibishaji endapo itakutana na mbegu ya kiume.
Sasa inapotokea kifuko cha yai kimekomaa vizuri kwenye ovary na linatakiwa zipasuke zitoe mayai na ikatokea halijapasuka hivyo hizo follicles ambazo zimeshindwa kupasuka na kutoa yai zinabaki na umbo kama zabibu zilizo kwenye kikonyo chake mwonekano wake kwa kitaalamu zinafananishwa na kitu kiitwacho cyst kwa sababu zipo nyingi tunatumia neno la kitalamu polycystic.
Kuongezeka homoni za kiume inapelekea vimbe kwenye mayai
Kuongezeka kwa homoni za kiume zinajulikana kama Androgens ambazo ni Testosterone inachaangi kupara vimbe kwenye mayai .Kwa kawaida mwanamke huwa ana kiwango kidogo sana cha homoni hii ya kiume Testosterone. Homoni inayomfanya mwanaume aonekane mwanaume kuongezeka kwa homoni hii inampelekea mwanamke kuonesha dalili za kuongezeka kwa dalili za kiume kwa mwanamke kama kuota ndevu kidevuni,chunusi sugu na pia kuongezeka uzito kupita kiasi na kitambi pia.
Nini Madhara ya Kuvurugika Kwa Homoni Hizi Kwa Mwili Wa Mwanamke
Endapo homoni zako zitavuruguka basi unapata madhara yafyatayo
- kukosa mimba na ugumba
- kukosa hamu ya tendo na ukavu ukeni
- hedhi yako kuvurugika na kushindwa kutambua siku za hatari
- kuongezeka uzito na kitambi
- kuugua magonjwa ya uzazi mara kwa mara
Tiba asili kutoka kwetu kutibu vimbe kwenye mayai na kurekebisha homoni
Endapo wewe ni mwanamke upo kwenye hili kundi na unataka kutoka kwenye haya mateso, basi tuandikie kwa namba zetu 0678626254 uanze tiba mapema. Ni dozi ya mwezi mmoja tu kurekebisha homoni na kupona vimbe kwenye mayai. Tiba hizi asili kutoka india zimeleta shuhuda nyingi sana.
Leave a Reply