
Nini kinapelekea upate choo chenye damu?
Kupata choo chenye damu ni jambo hatari, na utanatakiwa kutibiwa haraka. Kikawaida rangi ya kinyesi inatakiwa kuwa brown au mpauko. Uwepo wa damu kwenye haja kubwa inaweza kupelekewa na kuvuja damu kwenye mishipa ya eneo la ndani la mkundu.
Wakati mwingine uwepo wa damu kwenye kinyesi inaweza kuwa ngumu kugundua. Lakini ikaambatana na dalili zingine kama maumivu ya tumbo, mwili kuishiwa nguvu na kuchoka sana. Piua unaweza kupata shida kwenye kupumua, kutapika kubadili kwa mapigo ya moyo, kuharisha damu, na uzito kupungua kwa kasi.
Je choo chenye kamasi kina shida?
Kupata na kinyesi au choo chenye kamasi ni hali ya kawaida na nzuri kiafya. Kamasi hii inakusaidia kutoa hajakubwa kwa ulaini pasipo kujikaza. Lakini kamasi lisiwe jingi sana. Ukianza kuona kamasi linazidi basi kuna tatizo kubwa la kiafya na unatakiwa uende hospitali kupimwa.
Mazingira hatari yanayopelekea Upate choo chenye damu.
- Kuvimba kwa mishipa ya damu ndani ya mkundu
- Kulegea kwa eneo juu ya tumbo kutokana na kutapika sana
- Damu kutofikia baadhi ya maeneo ya utumbo mkubwa
- msongo mkali wa mawazo
- Kuvimba na kututumka kwa ukuta wa tumbo na hivo kuanza kuvuja damu
- Kutanuka kwa mishipa ya damu iliyopo tumbomi
- Kujeruhiwa kwenye eneo la mkundu
- Kuugua bawasiri mda mrefu na
- Saratani ya utumbo mpana
Ushauri wa kufata kutibu hida ya choo chenye damu
Kwenye kutibu hili tatizo muhimu sana tazama chanzo cha tatizo na siyo kutibu dalili. Hapa chini ni njia asili unazoweza kufanya pale unapoona kuna damu kwenye kinyesi kama tatizo linasababishwa na
Vidonda vya Tumbo sugu
Kama vidonda vyako tumboni vinavuja damu basi unaweza kupata dalili kama kutapika damu. Vidonda hivi ni mareraha tumboni yanayotokana na kuliwa kwa ukuta wa tumbo na tindikali. Mara nyingi huambatana na maumivu makali ya tumbo.
Kutibu tatizo hili anza kwa kuepuka baaadhi ya vyakula ambavyo vinaongeza ukubwa wa tatizo. Vyakula kama vya ngano, pombe, sukari iliyochakatwa sana, kahawa na vinywaji vya soda. Badala yake kula zaidi vyakula vyenye kambakamba ambavyo havijakobolewa, mboga za majani, nazi na mafuta ya nazi. Tafiti zinasema kwamba matumizi ya juisi ya kabeji kila siku husaidia kuponya vidonda vya tumbo.
Gastritis au kuvimba kwa tumbo la chakula
Gastritis ni tatizo la kiafya ambalo hutokana na kuvimba na kututumka kwa tishu za ukuta wa ndani wa tumbo. Dalili za gastritis hufanana sana na zile za vidonda vya tumbo. Hakikisha unatumia vyakua vyenye kambakamba kwa wingi, Vitamin B12 na mafuta ya omega 3. Na kisha uepuke vyakula vyenye tindikali kwa wingi kama machungwa na nyanya.
Diverticulitis-Utumbo mpana kuvimba
Diverticulitis ni hali ya kuvimba kwa sehemu ya ndani ya utumbo mpana. Supu ya mifupa na protein powder husaidia katika kumeng’enya chakula vizuri. Kula vyakula vyenye kambakamba kwa wingi ni muhimu.
Kula Mbogamboga za kijani kwa wingi kutibu choo chenye damu
Licha ya kuwa na kambakamba nyingi kwenye mboga za kijani, pia kuna madini mengi ya magnesium ambayo tumeona hapo juu husaidia katika ufanyaji kazi mzuri wa misuli na hivo kupunguza tatizo la kukosa choo ama kupata choo kigumu.
Tumia tiba hii asili kutoka kwetu upone haraka.
Dawa zetu ni tiba asili kutoka india, zitakusaidia kuekebisha choo, kuondoa hali ya kuvimba kwenye kuta za mkundu na hivo kutibu shida ya choo chenye damu haraka sana. Pia dawa hizi zinatibu bawasili hata kama ni sugu ya mda mrefu.
Leave a Reply